Friday, 9 December 2016

huo kikuu cha mtakatifu Augustine kupitia taasisi ya wanafunzi wanaharakati wa mzingira SEMA (students Environment Management Association )  wali suport kauli ya Mh Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli kwa kufanya Usafi pamoja na Upandaji miti katika maeneneo yanoyokizunguka chuo hicho kilichopo Arusha Mjini




Picha ikimuonesha Mr Emmanuel Mulokozi ambaye ni Mhadhili katika chuo hicho kama alama ya kuunga mkono zoezi hilo la kufanya usafi na kutunza mazingira katika siku ya uhuru


















Pia ulipatikana  muda wa kuzindu t shirt za chama hicho ambazo ndo zitakua kama alama kwa wanachama hao wa sema

Burudani ziliendelea ambapo kulikua na mashindano yaliyopima uelewa juu ya mambo ya mazingira ambapo wanafunzi wa mwaka wa pili kozi ya BAED waliibuka kidedea katika zoezi hilo



0 comments:

Post a Comment

Environmental Laboratory - Latest News - RSS Feed

ABOUT SEMA

ABOUT SEMA
SEMA of St. Augustine University of Tanzania is an association established by students. It is a non profit association dedicated to environmental management and conservation. It is voluntary operated by students.Though it is a student’s based association, SEMA operates under the umbrella of the university in a given country. However, SEMA has a vision of expanding its services across borders.

SEMA TV

FACEBOOK

Popular Posts